Thursday, August 2, 2018

Namna ya ku UNLOCK HUAWEI E303 Modem

Namna ya ku UNLOCK HUAWEI E303 Modem


Waungwana hope mko salama! Leo nimeona niweke sawa somo letu la ku UNLOCK modem za E303 Hizi modem zimekuwa zikiombwa sana na watembeleaji wa blog hii kwa muda mrefu.Karibuni tupeane mawili matatu.(Mtaniuwia radhi kwa mchanganyiko wa lugha mbili kwani haina jinsi inapaswa kila mtu aweze kuelewa)
Twende moja kwa moja....Hii modem unapotaka ku UNLOCK hakikisha umedownload E303 firmware ambayo itaUPDATE hyo iliyopo na modem yako itaweza kutumia LINE za mtandao wowote. Fuata Maelekezo yafuatayo Download E303 firmware (IKO HAPO CHINI KABISA) na baada ya kudownload....Hakikisha una DISCONNECT internet access kwa computer yako Na baada ya hapo, EXIT modem Dashboard (Yaani Exit ile icon ya modem inayokaa kwa ICONS TRAY) alafu RUN hyo software iliyopo hapo chini (HUAWEI E303 Firmware).... Baada ya kuRUN hyo software E303 hakikisha unakuwa na master code calculator ambayo Pia ipo hapo chini Moja kati ya master code calculator ni kama hii...
Basi ukishaSTART E303 processing....ikileta sehemu ya kuingiza pasword weka FLASH CODE utakayokuwa umeipata baada ya kutumia IMEI ya Modem yako ku CALCULATE kwa Master Code Calculator..... Ukimaliza hayo yote computer yako itaPROMPT kama inainstall kitu hivi, Jitulize ukiwa umeshika mkononi LINE yako ya Mtandao wa "KAZI NI KWAKO" sasa unaweza ukatumia line ya mtandao wowote kupata internet. Download E303 Firmware

visit link download

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.